Saturday, June 4, 2016

FAHAMU KUHUSU MOUSE ZA COMPUTER ZILIVYOKUWA NA ZILIVYO SASA...JE UNGEWEZA KUTUMIA??

WOTE TUNATAMBUA NAMNA AMBAVYO MOUSE NI KIFAA MUHIMU SANA KWENYE MATUMIZI YA PC NA HASA KWA NCHI ZA DUNIA YA TATU AMBAPO WENGI NI WAGENI WA COMPUTER...SASA JE UNAIJUA "COMPUTER MOUSE" YA KWANZA DUNIANI?? ILIGUNDULIWA MWAKA 1968 NA KAMPUNI YA KIJERUMANI Telefunken NA ILIKUWA IKIITWA "Rollkugel (German) YENYE MAANA ("rolling ball") CHINI YA ENGINEER Douglas Engelbart AMBAYE ANAONEKANA KUSHIKA MOUSE NAMBA 2 HAPO CHINI..... KARIBU UPATE PICHA
                                                                    1.
 HIYO NDIYO ROLLKUGEL.....MOUSE YA KWANZA KABISA NA ZINGINE KAMA ZIFUATAZO ZILIKUJA.....

 2.                                                                                   3.

NA SASA NI HII PAMOJA NA ZINGINE HAPO CHINI AMBAZO ZIMEGUNDULIWA KATI YA MWAKA 986-2007







...... JE UNGEWEZA KUTUMIA HIZO HAPO JUU NAMBA 1 ,2,NA 3??

No comments:

Post a Comment