Sunday, February 10, 2013

FAHAMU KIDOGO KUHUSU "WHITE HOUSE" a.k.a MJENGONI KWA OBAMA

Kikwetu 

Wote tukifahamu kuwa Marekani ilipata Uhuru Mwaka 1776, Basi; Rais wa kwanza wa Marekani Bw. Georger Washington alichagua sehemu fasaha ya kujenga Ikulu manamo Mwaka 1971. Shughuli nzima ikaahainishwa mnamo mwaka 1792 na Ramani halisi ya ni jinsi gani "White House" ionekane ikafikishwa mezani na msanifu majengo mzaliwa wa Ireland (Irish-born Architect) aliyeitwa James Hoban na alichaguliwa baada ya mashindano ya wengi waliokuwepo. Ujenzi wake wa awali ulimalizika baada ya miaka nane na Rais wa kwanza kuishi kwenye White House(Ambayo ilikuwa imekamilika kwa ujenzi wa Awali) ni Rais wa pili wa Marekani Bw. John Adams na Mkewe Abigail mnamo mwaka 1800. 

 Kimombo 
The first president, George Washington, selected the site for the White House in 1791. The cornerstone was laid in 1792 and a competition design submitted by Irish-born architect James Hoban was chosen. After eight years of construction, President John Adams and his wife, Abigail, moved into the unfinished house in 1800. During the War of 1812, the British set fire to the President’s House in 1814. James Hoban was appointed to rebuild the house, and President James Monroe moved into the building in 1817. During Monroe’s administration, the South Portico was constructed in 1824, and Andrew Jackson oversaw the addition of the North Portico in 1829. During the late 19th century, various proposals were made to significantly expand the President’s House or to build an entirely new house for the president, but these plans were never realized.

No comments:

Post a Comment